ZamaradiTV
ZamaradiTV
  • Видео 675
  • Просмотров 23 149 923
BEHIND THE GRAM MOM & DAUGHTER - EPISODE 1
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi
Просмотров: 5 504

Видео

BEHIND THE GRAM DIVA & SHEKHE - EPISODE 4
Просмотров 10 тыс.23 часа назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
ZANZIBAR NDIO HII, LANGO LA KUINGIA NA KUTOKA | UTALII | UTAMADUNI | MAENDELEO
Просмотров 3616 часов назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 15 - PROMO
Просмотров 2,5 тыс.13 часов назад
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 15 - PROMO
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEKHE - EPISODE 3
Просмотров 13 тыс.13 часов назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEKHE - EPISODE 2
Просмотров 15 тыс.15 часов назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 14 - PROMO
Просмотров 8 тыс.15 часов назад
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 14 - PROMO
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEKHE - EPISODE 1
Просмотров 15 тыс.15 часов назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
ANAPOISHI ZUU COLLECTION /MFANYAKAZI WA BENK ALIYEACHA KAZI KWA AJILI YA BIASHARA
Просмотров 31 тыс.18 часов назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
BIRTHDAY YA DIRECTJOAN NI NOMA/AWAKUSANYA MAWAKALA ZAIDI YA MIA MBILI UKUMBINI
Просмотров 1,7 тыс.18 часов назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
YALIOJIRI KWENYE BIRTHDAY PARTY YA GIGYMONEY/AGAWA CHAKULA NA NGUO KWA WASIOJIWEZA
Просмотров 15 тыс.20 часов назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
SABRA MACHANO ASEMA SABABU ZA KUACHIKA KWAKE/AWAJIA JUU WANAENDA NJE NA MUDA
Просмотров 9 тыс.День назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 13- PROMO
Просмотров 9 тыс.День назад
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RUclips channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
NYUMBANI KWAO MISS IFM/MIMI NI MREMBO NITAFIKA MISS WORLD/SIO KIZEE SIJAKOMAA NINA MIAKA 20
Просмотров 15 тыс.День назад
NYUMBANI KWAO MISS IFM/MIMI NI MREMBO NITAFIKA MISS WORLD/SIO KIZEE SIJAKOMAA NINA MIAKA 20
ISMAIL JUSSA AFICHUA SIRI -ACT WAZALENDO: UHUSIANO NA CCM,MUUNGANO NA KUMSOMAMISHA ZITTO KABWE 2025
Просмотров 11 тыс.День назад
ISMAIL JUSSA AFICHUA SIRI -ACT WAZALENDO: UHUSIANO NA CCM,MUUNGANO NA KUMSOMAMISHA ZITTO KABWE 2025
KATIBU MKUU AFUNGUKA MAZITO | UVUVI HARAMU NA UCHUMI WA BULUU
Просмотров 12514 дней назад
KATIBU MKUU AFUNGUKA MAZITO | UVUVI HARAMU NA UCHUMI WA BULUU
FAHAMU KAZI YA CHETEZO NA KAWA/JAMVI LIMECHANIKA
Просмотров 32914 дней назад
FAHAMU KAZI YA CHETEZO NA KAWA/JAMVI LIMECHANIKA
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 11 - PROMO
Просмотров 9 тыс.14 дней назад
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 11 - PROMO
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 10 - PROMO
Просмотров 9 тыс.14 дней назад
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 10 - PROMO
TOUFIQ TURKY: SIRI ZA UONGOZI, CHANGAMOTO NA MAONO YA ZANZIBAR - HARDCOPY
Просмотров 51714 дней назад
TOUFIQ TURKY: SIRI ZA UONGOZI, CHANGAMOTO NA MAONO YA ZANZIBAR - HARDCOPY
ANAPOISHI T.I.D DODOMA/AKABIDHIWA MJENGO WA KIFAHARI /MITAA WANAYOISHI VIONGOZI
Просмотров 34 тыс.14 дней назад
ANAPOISHI T.I.D DODOMA/AKABIDHIWA MJENGO WA KIFAHARI /MITAA WANAYOISHI VIONGOZI
FREEMASON WADUMISHA UMOJA WAO/ MKURUGENZI AFUNGUKA.
Просмотров 93221 день назад
FREEMASON WADUMISHA UMOJA WAO/ MKURUGENZI AFUNGUKA.
ATANGAZA HADHARANI KUTAKA KUMUOA SHILOLE/NILIOMBA NDOA YAKE IVUNJIKE KWA MIAKA 15
Просмотров 3,5 тыс.21 день назад
ATANGAZA HADHARANI KUTAKA KUMUOA SHILOLE/NILIOMBA NDOA YAKE IVUNJIKE KWA MIAKA 15
YALIOYOJIRI USIKU WA BIRTHDAY PARTY YA MSANII TID KUTIMIZA MIAKA 40/ GIGY MONEY NDANI
Просмотров 2,2 тыс.21 день назад
YALIOYOJIRI USIKU WA BIRTHDAY PARTY YA MSANII TID KUTIMIZA MIAKA 40/ GIGY MONEY NDANI
MGANGA SHAROBARO APATIKANA TANDALE/WAJITAMBA KULA MILO MITATU
Просмотров 66321 день назад
MGANGA SHAROBARO APATIKANA TANDALE/WAJITAMBA KULA MILO MITATU
RAIS WA TANDALE AWAAHIDI MAZURI WANANCHI WAKE / AWACHANA WANAOPIGA SHOTI
Просмотров 60921 день назад
RAIS WA TANDALE AWAAHIDI MAZURI WANANCHI WAKE / AWACHANA WANAOPIGA SHOTI
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 09 - PROMO
Просмотров 15 тыс.21 день назад
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 09 - PROMO
UKWELI WOTE WA TUHUMA ZA MUME WA ESMA PLATNUMZ KUHARIBU MAHUSIANO YA MAVOCALI
Просмотров 91921 день назад
UKWELI WOTE WA TUHUMA ZA MUME WA ESMA PLATNUMZ KUHARIBU MAHUSIANO YA MAVOCALI
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 08 - PROMO
Просмотров 8 тыс.21 день назад
GIGY MONEY THE REALITY EPISODE 08 - PROMO
KAMBINI WANAPOISHI WASHIRIKI WA MISS IFM 2024/MSHINDI KUPEWA ZAWADI YA GARI NA WAWILI VIWANJA
Просмотров 4,4 тыс.21 день назад
KAMBINI WANAPOISHI WASHIRIKI WA MISS IFM 2024/MSHINDI KUPEWA ZAWADI YA GARI NA WAWILI VIWANJA

Комментарии

  • @BenjaSamson
    @BenjaSamson 3 часа назад

    Unaejibu nakuropoka wewe familia yako imeaza kujua wanaume miaka 12

  • @EmilyAlph
    @EmilyAlph 3 часа назад

    Ila Abdul alijitahidi sana kuishi na hili deri la barafu 🚮🚮

  • @lalafamily5290
    @lalafamily5290 4 часа назад

    Shehe muongo sana Christma😢s haina uhusiano na Cris, ni story ya kutunga kutoka kwenye uislamu kimtazamo!! Ukristo unapigwa mawe sana kila kona!! Christ not Cris au Kris!! Hizi kumbukumbu za kidini tu na siyo kama mihimili ya kiimani. Ramadhani ni tamaduni za kipagani ukifuatilia chanzo chake, ambapo utabishana na waislamu kuhusu hilo kidini. Ndiyo kama Christmas ilivyo kidini. Maswala ya kidini ni very contradicting.

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 5 часов назад

    Harmonize kala kuku na mayai 🤣🤣🤣

  • @hellensaronga4259
    @hellensaronga4259 5 часов назад

    Mwambie huyo mmeo, religion is one of the element of culture. Alafu akome kuongelea Christmas kwa upotoshaji maana hajui chochote.Ana chuki sana na dini za watu. I hate....

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 6 часов назад

    😢

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 6 часов назад

    Nawapenda sana ❤❤❤❤

  • @RutyNatalia-uu5uj
    @RutyNatalia-uu5uj 7 часов назад

    Kwan ametia udhu mbn anaswali bila udhu

  • @JaneyMushi
    @JaneyMushi 7 часов назад

    ❤️ kajala

  • @JaneyMushi
    @JaneyMushi 7 часов назад

    ❤️ kajala

  • @JaneyMushi
    @JaneyMushi 7 часов назад

    ❤️ kajala

  • @faridalihondo3322
    @faridalihondo3322 7 часов назад

    Kuwa thiriaz bathii ma p😂😂😂😂😂😂😂

  • @nasbangula8966
    @nasbangula8966 7 часов назад

    Yo this is good , keep going beutiful:

  • @SaidSaid-ef8md
    @SaidSaid-ef8md 8 часов назад

    Shekhe atakuua huyu mwanamke

  • @Lovenessqueen
    @Lovenessqueen 8 часов назад

    Anakwaza uyu na vingereza vya kijinga 😏😏😏

  • @tumadhiraasaid4676
    @tumadhiraasaid4676 8 часов назад

    ❤❤❤❤ep 2

  • @HappyBurrito-lr9fw
    @HappyBurrito-lr9fw 9 часов назад

    Vingeleza🙌😂

  • @DeborahNyachiro
    @DeborahNyachiro 9 часов назад

    Shape nyuma

  • @dublea4118
    @dublea4118 9 часов назад

    Finally

  • @sharifabahar9905
    @sharifabahar9905 9 часов назад

    🙏❤️😘 Mungu hakusimamie upate kipenzi chako naww uwe mke wa mtu siku mmoja

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 10 часов назад

    Masikini 😢 duh 💔🥺

  • @mylasadick5189
    @mylasadick5189 10 часов назад

    Karopoka 😂

  • @user-nn7uf1mr7x
    @user-nn7uf1mr7x 10 часов назад

    Minajonea ujinga2

  • @3Dshoez
    @3Dshoez 10 часов назад

    Paula ndo kudeka au kuongea hawezi au 🤐

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u 11 часов назад

    Inahuzunisha kwakwel tuwe tunaangalia makabila jaman

  • @user-mr7gl5ox6u
    @user-mr7gl5ox6u 11 часов назад

    Chezea wamakonde we😂😂😂😂

  • @user-ji1bc5ti8r
    @user-ji1bc5ti8r 12 часов назад

    Jamaniiii mbona mmewawekea kithembe?

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 12 часов назад

    Mnajishauwa mtu na mama mnaboa mtoto una mapozi yasiyo furaisha watu kaeni kifamilia fundishaneni usitarabu Mtu kama harmo alinitongoza wakati alikua boyfriend wa mama 🤭 una muitaje bwana wa mama Yako boyfriend wa mama? Mama na mwana mnapovaa vinguo vya ndani mbele ya mwanaume yoyote mnatarajia Nini?

    • @nellymtambo8432
      @nellymtambo8432 3 часа назад

      Wewe ni wivu na inaonekana wewe ni maskini ndio maana unaishi dunia ya kizamani unataka amuite bwana wa Mama kwani kamuoa Kajala au kamchumbua Kwanza unajua maana ya boyfriend au unaropoka acha umaskini fikra zako za kimaskini maraya hovyooo pyeeeeee😂kwendaaaa

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 12 часов назад

    Pole mumy pole 😢😢

  • @DamoG257
    @DamoG257 12 часов назад

    Ntucikwe🔥🔥🔥🔥🔥🔥ruclips.net/video/C1N5hEoKDF0/видео.htmlsi=HohPhSiMnKZzu3NT

  • @salmaalimusa6809
    @salmaalimusa6809 12 часов назад

    Hakunaga mama Mjinga watu tuache kujaji tusoyajua

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 12 часов назад

    Sasa walilazwa ndani kwa nn?

  • @user-zo8wz5px9n
    @user-zo8wz5px9n 12 часов назад

    Nakupenda mnooo kajara❤

  • @user-wu8qe4fv4j
    @user-wu8qe4fv4j 12 часов назад

    Nampnda sn kajala

  • @user-sq6sl3tb3j
    @user-sq6sl3tb3j 12 часов назад

    Daah Paula anaulima sana mpende mama yk🎉🎉

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 12 часов назад

    Et beyonce 😂

  • @violethkalinga2980
    @violethkalinga2980 12 часов назад

    It's like pau anasema script 😮

  • @righitkileo
    @righitkileo 12 часов назад

    Vituko jaman huyu chizi diva ataniua mm.lkn huyu shekhe jmn anaweza je kuwa na huyu ? Ha,ha,ha,ha,😂😂😂😂😂

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 12 часов назад

    “Napenda kuwa mama wa familia sema ndo sinaga tu bahati” 😢💔 Muda labda bado mpenzi utapata tu io familia siku moja mungu anampango na wewe

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 12 часов назад

    Ila wanake aiseee daaah pole sio muda wa kujilaum n muda wakurekebisha makosa yasijirudie tna

  • @righitkileo
    @righitkileo 12 часов назад

    Ha ha haaaaaa,ha ha ha haaaaaaaaaaa.ntakufa kucheka .eti ile hela ulioiacha nimenunua chjps.uwe unanunua mkate .jmn😂😂😂😂

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 12 часов назад

    Woooow ❤❤❤❤🎉

  • @florabuzoya3948
    @florabuzoya3948 12 часов назад

    Wooow🔥🔥🔥

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 13 часов назад

    Paula unaongea km unasoma jaman😂😂

    • @3Dshoez
      @3Dshoez 10 часов назад

      Mapozi sijui

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 13 часов назад

    Asante Zamaradi kwa kutuletea behind the gram huku youtube..🔥🔥✊🏾

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 13 часов назад

    Hawa nao ilikua zamani Sasa hivi wamepoa km uji wa mgonjwa hawana mpya bora hata gigy machupi ana hit😅😅😅

    • @ukhtymwana40
      @ukhtymwana40 12 часов назад

      😂😂😂😂😂

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 12 часов назад

      Fanya mchezo na kutotoa hana ngoma😅😅😅

  • @darlenedada651
    @darlenedada651 13 часов назад

    Asante Zamaradi kutuletea iyi

  • @witnessmlay7415
    @witnessmlay7415 13 часов назад

    Sasa Trainer unataka ku control happiness ya kajala ya nini? 😂😂

  • @righitkileo
    @righitkileo 13 часов назад

    Woooooooyi.jamn kwani bado mnaishi pamoja?? Ila hawa wote wanauqonjwa wa Akili. Woooooooooooyi.

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 13 часов назад

    Ila diva 😂😂😂😂😂😂😂😂au ni anafanya tu drama ili wauze iii reality yao Hii mbona kama content tu jaman Abou nae punguza ukali mapenzi gani hutaki hata kushikwa